Make a song like this

Turn an idea into a full song in minutes. No experience needed.

Song

Kibali Chako

  • Afro House

Lyrics

Generation plan

[Bridge]

[Amapiano Log Drum Drop]

[Heavy Hi-Fi Bass]

Shangilia! Sema haleluya!

Bwana ametenda makuu katika maisha yangu!

Weka miguu chini, cheza kwa furaha!

Hakuna wa kuzuia mkono wako Bwana!

Oh-oh-oh!

Nanyi wote semeni amina!

[Chorus]

[Explosive Vocals]

Uhakika wa maisha yangu

Ni kwa sababu wewe ni Mungu

Huwezi niacha pekeyangu

Kwenye giza nene umekuwa nuru

Nakutegemea wewe na sio mtu

Mwanadamu kamwe huwezi kuwa Mungu

Kwake siwezi weka tumaini langu

Comments

Loading comments…